Sunday, May 29, 2016

MJI WA MOSHI kwa sasa ni mji unaondelea kukua siku hadi siku na moja ya huduma pengine zilikuwa zinapatikana mkoani hivi sasa zinapatikana katika mji huo.

Moja wa huduma hizo ni kuwepo kwa huduma ya saloon ya kisasa Nirvana Classic Saloon (BARBERSHOP) ya kiume pamoja na kike zenye huduma bora za viwango vya kimataifa Iliyopo Moshi mjini in Double Road Near East Africa Pub

Saloon hizo zinatoa huduma zote muhimu za usafi wa nywele kwa wanaume na kike ambayo inamfanya mteja baada ya kuhudumiwa kujikuta ni msafi kama ametoka nyumbani.
mobile no.0762582747
0652511581
0656310663







0 comments:

Post a Comment

Topservicecare. Powered by Blogger.

Recent Posts

Popular Posts